Malkia wa Taarab nchini Bi. Hadija Kopa akiimba mbele ya umati wa watu kwenye ukumbi maarufu wa City Pub mjni Mbeya.
Baadhi ya wanamuziki wa TOT Taarab wakiimba kwa hamasa wakati band hiyo
ya muziki wa taarab ilipotumbuiza kwenye ukumbi wa City Pub mjini
Mbeya.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimpongeza bi Hadija Kopa kwa
umahiri wake wa kuimba taarab kwenye ukumbi wa City Pub Mbeya.
Umati wa watu ukiwa umefurika wakati Malkia wa Taaarab Hadija Kopa na Band ya Taarab ikitoa burudani kwa wakazi wa Mbeya mjini.
0 comments:
Post a Comment