Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea mashada ya mauwa wakati wa mapokezi nyake alipowasili katika
uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,akiwa na
ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe Mama Mwanamwema Shein katika ziara
rasmi.[Picha na Ramadhan Othman, India.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kiongozi wa Ulinzi wakati wa mapokezi yake
alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika
Jimbo la Rajastan,akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe Mama
Mwanamwema Shei.[Picha na Ramadhan Othman, India.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wakati wa
mapokezi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India
katika Jimbo la Rajastan,pamoja na ujumbe waliofuatana katika ziara
rasmi nchini India[Picha na Ramadhan Othman, India.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mkuu wa Uhusiano wa Mambo ya Nje Mam Raj Behamni, mara
baada ya mapokezi na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakilipowasili katika
Uwanja wa dege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,pamoja
na ujumbe katika ziara rasmi nchini India[Picha na Ramadhan Othman,
India.]
0 comments:
Post a Comment