Wafanya biashara wa Ndizi katika soko hilo wamesema kuwa biashara ya Ndizi inawapa faida kubwa sana kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakinunua sana bidhaa hiyo katika kipindi hiki na pia walitaja bei ya mikungu ya Ndizi, mkungu mmoja mkubwa ni sh 16,000/= na mdogo ni sh 14,000/=.
mfanya biashara wa bidhaa hiyo akiwa anapakia minkungu ya ndizi katika mkokoteni tayari kwa kuifanyia biashara katika eneo hilo la soko kuu la manispaa ya Iringa.
baadhi ya mikungu ya ndizi ambayo ipo sokoni tayari kwa biashara katika eneo la soko kuu la manispaa ya Iringa.
0 comments:
Post a Comment