Mkurugenzi Mtendaji Kampuni
ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari
(hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini
Dar es Salaam 18 Februari-214
kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa Bongo
Movie itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari
2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere (kushoto),
Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda
Nyallu.
Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA DAR ES SAL
AAM
0 comments:
Post a Comment