Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akishuka kwenye
ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa
kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika
kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na
viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi
waliojitokeza katika mapokezi hayo. Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na
Ushirika Mh. Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Songwe. Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati ni Mkuu wa mkoa wa
Mbeya Mh. Abas Kandoro na Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman
Sigalla kushoto. Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Marck Mwandosya Waziri asiyekuwa na Wizara maalum, katikati ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla na kushoto ni Dr. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi. Mwenyekiti wa Cma Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamnda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI . Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akipokea heshima
kutoka kwa kikosi cha vijana wa Chipukizi mkoa wa Mbeya mara baada ya
kuwasili uwanja wa ndege wa Songwe kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni
Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh.
Abas Kandoro, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula, Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigalla na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akivishwa skafu na
vijana wa chipukizi mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili mkoani humo
kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa serikali na chama. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi na wabunge Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na vijana wa UVCCM. Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwa katika kikao
cha ndani na viongozi wa CCM mkoa wa Mbeya kutoka kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti
Bara na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi wajumbe wa harmashauri kuu mkoa wa Mbeya wakiwa katika kikao hicho.
Mary
Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mbeya akisalimiana na
makada wa chama hicho kushoto ni Kada wa CCM Richard Kasesela.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya
Mbeya Mh. Dr. Norman Sigalla wakati aliookuwa akizungumza jambo naye
katikati ni Kada wa CCM Bw. Mwakipesile na kuliani Mkuu wa mkoa wa Mbeya
Mh. Abas Kandoro.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamnda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI wakati wa mapokezi hayo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na viongozi wanawake wa mkoa wa Mbeya. Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza kwa msisitizo na Dr.
Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wakati wa mapokezi hayo.
Ndege ya Rais Jakaya Kikwete ikiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya
0 comments:
Post a Comment