HOME »
» MBEYA CITY YAWEKA KAMBI MOMBASA KUIKABILI COASTAL UNION
Wachezaji wa Mbeya City wakipanda
ndege mchana jana Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kuelekea
Mombasa, Kenya ambako watakaa hadi Jumamosi asubuhi watakapokwenda Tanga
na jioni yake kucheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi
ya wenyeji, Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani.
0 comments:
Post a Comment