Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki
kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika
uchaguzi mdogo, uliofanyika leo mjini Zanzibar leo asubuhi. Kushoto ni
Mgombea wa Jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika
baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid,
kuvuliwa uanachama mwishoni mwa mwaka uliopita .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimchagua kwa siri mgombea wa Jimbo la Kiembesamaki, katika uchaguzi
mdogo wa Mwakilishi wa Jimbo hilo, uliofanyika leo mjini Zanzibar.
Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,
Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama mwishoni mwa mwaka uliopita.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitumbukiza kura yake ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la
Kiembesamaki, wakati wa uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo,
uliofanyika leo asubuhi mjini Zanzibar. . Uchaguzi huo umefanyika baada
ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa
uanachama mwishoni mwa mwaka uliopita.
Baadhi
ya Wananchi wakisoma ubao wa matangazo kutafuta eneo walilopangiwa
kupigia kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, wakati wa
zoezi hilo lililofanyika leo asubuhi mjini Zanzibar. Picha na OMR

0 comments:
Post a Comment