Kundi la wachimbaji migodi haramu waliookolewa kutoka mgodi uliotelekezwa nchini Afrika Kusini na maafisa wa uokoaji wanatarajiwa kufika kizimbani hivi leo.
Wachimbaji migodi hao 11 walitumia ngazi iliyotupwa ndani ya mugodi huo kujinasua siku ya jumatatu.
Wote 22 walikamatwa na kufunguliwa mashtaka
Vyombo vya habari vya Afrika Kusini
vinasema takriban wachimba migodi wengine 200 bado wamenasa katika mgodi
huo lakini wamekataa kuokolewa wakihofia kukamatwa na polisi. Baadhi
yao wanatoka katika mataifa jirani.
Chanzo, bbcswahili.com
Chanzo, bbcswahili.com
0 comments:
Post a Comment