- Mwenyekiti wa Muda (Pandu Amir Kificho) wa Bunge amewatahadharisha wajumbe juu ya hatari ya kunyoosheana vidole kwa itikadi za kisiasa. Ufafanuzi huo umetolewa baada ya Mheshimiwa Ole Sendeka kumshutumu waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Hamisi Bakari kuwa ana maslahi ya chama chake cha CUF!
Thursday, 6 March 2014
HOME »
» HILI NDIO BUNGE LA KATIBA: VIRUGU ZA SABABISHA BUNGE KUHAILISHWA LEO
HILI NDIO BUNGE LA KATIBA: VIRUGU ZA SABABISHA BUNGE KUHAILISHWA LEO
- Mwenyekiti wa Muda (Pandu Amir Kificho) wa Bunge amewatahadharisha wajumbe juu ya hatari ya kunyoosheana vidole kwa itikadi za kisiasa. Ufafanuzi huo umetolewa baada ya Mheshimiwa Ole Sendeka kumshutumu waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Hamisi Bakari kuwa ana maslahi ya chama chake cha CUF!
0 comments:
Post a Comment