Sunday, 16 March 2014

BAADA KIPONDO CHA 3-0 OLD TRAFFORD: HAYA NDIO YA MESEMWA NA DEVID MOYES,ROONEY NA GERRAD

>>MOYES: ‘NI NGUMU KUTATHMINI MECHI ILIYOJAA PENATI….!!’
>>ROONEY: ‘NI MOJA YA SIKU MBAYA MAISHA YANGU YA SOKA!’
>>GERRARD: ‘NIMEKUJA HAPA MARA NYINGI NA MARA NYINGI TUMEZIDIWA..!’
Mara baada ya Leo hii Liverpool kuwachapa Manchester United Bao 3-0 Uwanjani Old Trafford katika Mechi ya Ligi Kuu England kwa msaada mkubwa wa Bao 2 za Penati na Bao moja ‘tata la Ofsaidi’, David Moyes, Wayne Rooney, ambae ni Mzaliwa wa Liverpool, Shabiki wa Everton tangu Utotoni, na Steven Gerrard, walizungumza.
PATA TAARIFA:
MAN_UNITED_v_LIVERPOOL-MACHI_16-DAVID MOYES, Meneja wa Man United:
“Ni ngumu kuitathmini Mechi iliyojaa Penati na maamuzi, mengine sawa, mengine si sawa! Ni bora nisiongelee kuhusu hayo, ni juu ya Wakubwa kuamua na ni matumaini yetu watafanya uamuzi sahihi!”
-WAYNE ROONEY, Straika wa Man United:
“Ni moja ya Siku mbaya ambayo nimeikuta katika Maisha yangu ya Soka! Ni ngumu kuikubali! Liverpool wanastahili sifa lakini hakuna anaetaka kufungwa Uwanjani kwake kwa njia hii! Si safi. ”
-STEVEN GERRARD, Nahodha wa Liverpool:
“Nimekuja hapa mara nyingi na mara nyingi tumezidiwa sana. Wao ni Timu bora kabisa. Hapa ni sehemu ngumu kuja kucheza kwenye Lgi Kuu lakini tunaondoka tukihuzunika hatukufunga Goli nyingi zaidi! ”
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
30
33
66
2
Liverpool
29
41
62
3
Arsenal
29
25
62
4
Man City
27
44
60
5
Tottenham
30
-1
53
6
Everton
28
12
51
7
Man Utd
29
12
48
8
Southampton
30
6
45
9
Newcastle
29
-3
43
10
Aston Villa
29
-6
34
11
Stoke
30
-12
34
12
West Ham
29
-6
31
13
Hull
29
-7
30
14
Swansea
29
-5
29
15
Norwich
30
-24
29
16
West Brom
29
-10
28
17
Crystal Palace
29
-19
28
18
Sunderland
27
-16
25
19
Cardiff
30
-29
25
20
Fulham
30
-35
24
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Machi 22
1545 Chelsea V Arsenal
1800 Cardiff V Liverpool
1800 Everton V Swansea
1800 Hull V West Brom
1800 Man City V Fulham
1800 Newcastle V Crystal Palace
1800 Norwich V Sunderland
2030 West Ham V Man United
Jumapili Machi 23
1630 Tottenham V Southampton
1900 Aston Villa V Stoke
Jumanne Machi 25
2245 Arsenal V Swansea
2245 Man United V Man City
2245 Newcastle V Everton
Jumatano Machi 26
2245 West Ham V Hull
2300 Liverpool V Sunderland

0 comments: