Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua
matembezi kwa ajili ya maji, yaliyolenga kuihamasisha jamii kuhusu
utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya
Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya
Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice
Mkwawa.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA DODOMA
Kikundi
cha ngoma ya asili ya Kigogo kikitoa burudani kabla ya kuanza matembezi
kwa ajili ya kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji
nchini.yaliofanyika katika kata ya CHIBELELA wilayani BAHI Machi 15,
2014 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa tayari kuongoza maandamano. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chibelela Bahi wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Watatu
kulia, ni Katibu wa CCM Tawi la Chibelela Bahi, Tito Lusinde akiwa
pamoja na viongozi wengine wakiwa wamejipanga kumpokea Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Wakazi wa kata ya Chibelela wilayani Bahi nao wakiwa tayari kumpokea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.akipanda Mti wakati wa matembezi
kwa ajili ya maji, yakilenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa
miundombinu ya maji nchini.matembezi hayo yalifanyika katika kata ya
Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014.
0 comments:
Post a Comment