Saturday, 15 March 2014

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA HARAKATI ZA KUSAKA KURA JIMBO LA CHALINZE


RIZ 1 (3)Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji cha Kimange,Kata ya Kimange,Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014, wakati akiwasili kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni zake za Uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6,2014. Picha na Othman Michuzi.RIZ 7RIZ 8 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kwa wakazi wa Kijiji cha Miono,Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano ya Kampeni zake za  Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa kufanyika Aprili 6,2014.Picha na Othman Michuzi.RIZ 12 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akijumuika pamoja na wanakijiji wa Miono,Wilayani Bagamoyo kwenye dua maalum ya kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie mafanikio mema katika kumuongoza Mgombea Ubunge huyo kwenye mwendelezo wa Kampeni zake.Picha na Othman Michuzi
RIZ 13 
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete pamoja na Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven Kazidi wakiwa na Mama wa Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Chalinze (aliefariki Dunia),Marehemu Said Bwanamdogo wakati walipofika kumjulia hali nyumbani kwake Kijijini Miono,Bagamoyo leo Machi 15,2014.
Picha na Othman Michuzi.

0 comments: