Saturday, 15 March 2014

BOSI WA ADIDAS KUIONGOZA BAYERN MUNICH! BAADA RAIS WAO ULI HOENESS KUJIUZULU KUFUATIA KIFUNGO JELA!


BAYERN_MUNICH_LOGOBOSI wa Kampuni kubwa ya Ujerumani ya Vifaa vya Michezo Adidas, Herbert Hainer, ndie atakuwa Rais mpya wa Mabingwa wa Ulaya Bayern Munich kufuatia kujiuzulu kwa Uli Hoeness.
Jana Uli Hoeness [Pichani Kulia] alisema ataikubali Adhabu ya Kufungwa Jela Miaka 3-1/2 kwa Ukwepaji Kodi wa Kiasi cha Euro Milioni 28 na pia kutangaza kujiuzulu nafasi yake kama Rais wa Bayern Munich.
Kifungo hicho cha Uli Hoeness kilitolewa na Mahakama huko Germany Juzi na Mawakili wake kutangaza nia ya kukata Rufaa.
Bayern Munich inamilikiwa Kibinafsi lakini Kampuni kubwa za Germany, Adidas AG, Allianz na Audi AG, kila moja inamiliki Hisa za Asilimia 8.3 kila moja huku Deutsche Telekom AG wakiwa ndio Wadhamini wakubwa.
Herbert Hainer alikuwa mmoja wa Viongozi wa Bayern Munich kwenye Bodi ya Uongozi wa Klabu hiyo.
Alkiongea mara baada ya uteuzi wake, Hainer alisema: “Hoeness alisaidia sana Bayern Munich kuwa Klabu yenye mafanikio makubwa!”
BUNDESLIGA
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Machi 14
FC Augsburg 1 Schalke 2
Jumamosi Machi 15
BV Borussia Dortmund v Borussia Mönchengladbach
Hertha Berlin v Hannover 96
SV Werder Bremen v VfB Stuttgart
Eintr. Braunschweig v VfL Wolfsburg
TSG Hoffenheim v FSV Mainz 05
Bayern Munich v Bayer 04 Leverkusen
Jumapili Machi 16
Hamburger SV v FC Nuremberg
Eintracht Frankfurt v SC Freiburg
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Bayern Munich
24
22
2
0
72
11
61
68
2
BV Borussia Dortmund
24
15
3
6
55
27
28
48
3
Bayer 04 Leverkusen
24
14
2
8
40
27
13
44
4
Schalke 04
24
13
5
6
46
35
11
44
5
VfL Wolfsburg
24
12
3
9
41
38
3
39
6
FC Augsburg
24
11
5
8
37
34
3
38
7
FSV Mainz 05
24
11
5
8
33
36
-3
38
8
Borussia Mönchengladbach
24
10
6
8
41
31
10
36
9
Hertha Berlin
24
10
6
8
35
28
7
36
10
TSG Hoffenheim
24
7
8
9
52
52
0
29
11
SV Werder Bremen
24
7
7
10
28
46
-18
28
12
Hannover 96
24
7
5
12
31
43
-12
26
13
Eintracht Frankfurt
24
6
8
10
27
40
-13
26
14
FC Nuremberg
24
4
11
9
27
42
-15
23
15
VfB Stuttgart
24
5
5
14
38
51
-13
20
16
Hamburger SV
24
5
5
14
39
53
-14
20
17
SC Freiburg
24
4
7
13
22
45
-23
19
18
Eintr. Braunschweig
24
4
5
15
19
44
-25
17

0 comments: