Wednesday, 12 March 2014

KIKAO CHA TUME YA UCHAGUZI NA WAJUMBE WA SIASA MKOANI IRINGA KINAENDELEA

WAKIBADILISHANA_MAWAZO_2_d16ad.png
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Taifa Mhe.Jaji Mstaafu Damiani Lubuva(Kulia) akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Mhe. Jaji Mkuu mstaafu. Hamid Mahmoud Hamid wakiwa katika Kikao cha Tume ya uchaguzi pamoja na wadau wa Vyama vya Kisiasa katika utoaji wa taarifa ya uchaguzi jimbo la Kalenga Mkoani Iringa  katika Ukumbi wa Siasa na Kilimo uliyopo Manispaa ya Iringa Tanzania.
WAANDISHI_fe774.png
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Taifa Mh.Jagi Mstaafu Damiani Lubuva akitoa Taarifa juu ya uchaguzi wa jimbo la kalenga Mkoani Iringa utakao fanyika tarehe 16 machi 2014. (Picha na Martha Magessa)
CHANZO MJENGWA BLOG

0 comments: