Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Rose
Kamili, ambaye pia ni mke wa Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod
Slaa, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa kwa madai ya
kukutwa akigawa rushwa kwa wapigakura leo jioni katika Kijiji cha
Kitawaya, Kata ya Luhota, wakati ikiwa ni siku ya mwisho kabla ya
kufanyika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga kesho. Hadi tunakwenda
mitamboni Rose alikuwa bado anashikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi mkoa wa
Iringa.
Rose akipandishwa kwenye karandinga la Polisi
|
0 comments:
Post a Comment