Wednesday, 12 March 2014

MAAFA YA MVUA KATIKA BARABARA YA SOMANGA-NYAMWAGA MKOANI LINDI

IMG_20140309_104948_324de.jpg
Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari yao baada ya kukwama katika kijiji cha Sinza katikati ya Somanga - Nyamwage mkoani Lindi, kutokana na barabara wanayoitumia kupatwa na uharibifu mkubwa uliotokana na mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
IMG_20140309_104051_eec7c.jpg
Eneo hili lenye urefu wa kilometa 14,ndio eneo korofi sana kwenye barabara hii kuu itokayo Mtwara,Lindi mpaka Dar es Salaam.Picha na Mdau Paul Marenga,Lindi.
IMG_20140309_110935_3cd57.jpg
Katapila likifanya maarifa ya kufanikisha magari hayo kupita.
IMG_20140309_091349_ba7f8.jpg
Msururu bado ni mkubwa sana na wasafiri wanaotumia magari yaliyokwama katika eneo hilo wakiwa wamesimama kuangania nini kinafanyika ili waweze endelea na safari yao.

0 comments: