Saturday, 15 March 2014

ANGALIA RATIBA NA MATOKEO YA LIGI YA KUU ENGLAND BAADA CHEALSEA KUNYOLEWA NA ASTON VILLA KWA BAO 1-0

LIGI KUU ENGLANDBPL2013LOGO
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Machi 15
Hull 0 Man City 2
Everton 2 Cardiff 1
Fulham 1 Newcastle 0
Southampton 4 Norwich 2
Stoke 3 West Ham 1
Sunderland 0 Crystal Palace 0
Swansea 1 West Brom 2
[Saa za Bongo]
2030 Aston Villa 1 v Chelsea 0

SWANSEA 1 WEST BROM 2
Bao la Dakika ya 85 la Youssouf Mulumbu limewapa West Bromwich Albion ushindi wa Bao 2-1 walipocheza Ugenini na Swansea City.
Swansea walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya Pili la Roland Lamah lakini Kipindi cha Pili Stephane Sessegnon aliisawazishia West Bromwich.
Huu ni ushindi wa kwanza kwa Meneja wa West Brom Pepe Mel

Refa: Martin Atkinson
SUNDERLAND 0 CRYSTAL PALACE 0
VIKOSI:
Sunderland: Mannone, Bardsley, O'Shea, Brown, Alonso, Larsson, Ki, Bridcutt, Johnson, Fletcher, Borini
Akiba: Gardner, Colback, Altidore, Vergini, Scocco, Ustari, Cattermole.
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Dann, Delaney, Ward, Bolasie, Dikgacoi, Jedinak, Ledley, Ince, Murray
Akiba: McCarthy, Puncheon, Thomas, Gayle, Hennessey, Jerome, Guedioura.
Refa: Neil Swarbrick
STOKE 3 WEST HAM 1
Bao 2 za Peter Odemwingie zimewapa ushindi wa Bao 3-1 Stoke City ambao walitoka nyuma kwa Bao 1-0 na kuifunga West Ham.
West Ham walitangulia kufunga kwa Bao la Andy Carroll na Odemwingie kusawazisha na Marko Arnautovic kuwapa Bao la kuongoza na Odemwingie tena kufunga Bao la 3.

Refa: Craig Pawson
SOUTHAMPTON 4 NORWICH 2
Ilikuwa piga nikupige huko Uwanja wa Mtakatifu Maria na hatimae Wenyeji Southampton kutoka kifua mbele kwa kuichapa Norway Bao 4-2.

MAGOLI:
Southampton 4
-Schneiderlin Dakika ya 5
-Lambert 57
-Rodriguez 72
-Gallagher 90
Norwich 2
-Elmander Dakika ya 85
-Snodgrass 86

Southampton walikuwa baridi kwa kuongoza 3-0 lakini makosa mawili ya Difensi yaliwapa Norwich Bao 2 katika Dakika 5 za mwisho na kuzuazua kizaazaa kikubwa lakini walibaki mbele na kuongoza Bao moja katika Dakika ya 90.
VIKOSI:

Refa: Kevin Friend
FULHAM 1 NEWCASTLE 0
Bao la Dakika ya 68 la Ashkan Dejagah limewapa ushindi Fulham wa Bao 1-0 walipocheza na Newcastle Uwanjani Craven Cottage.

Refa: Howard Webb
EVERTON 2 CARDIFF 1
Cardif City wamenyimwa Pointi 1 baada ya Seamus Coleman kufunga Bao la ushindi katika Dakika za Majeruhi na kuifanya Everton iibuke kidedea kwa Bao 2-1 Uwanjani Goodison Park.
Everon walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 59 la Gerard Deulofeu lililombabatiza Beki na Cardiff kusawazisha katika Dakika ya 68 kupitia Torres Ruiz.
Matokeo haya yameifanya Everton ikamate Nafasi ya 6 na Cardiff iwe Nafasi ya 19.

Refa: Roger East
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumapili Machi 16
1630 Man United v Liverpool
1900 Tottenham v Arsenal

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
29
34
66
2
Man City
27
44
60
3
Liverpool
28
38
59
4
Arsenal
28
24
59
5
Tottenham
29
0
53
6
Man United
28
12
48
7
Everton
27
11
48
8
Newcastle
28
-2
43
9
Southampton
30
2
42
10
West Ham
28
-4
31
11
Aston Villa
28
-7
31
12
Stoke
29
-14
31
13
Hull
29
-7
30
14
Swansea
28
-4
29
15
Norwich
29
-22
29
16
Crystal Palace
28
-19
27
17
West Brom
28
-11
25
19
Cardiff
29
-28
25
18
Sunderland
26
-16
24
20
Fulham
29
-36
21

0 comments: