>>TANZANIA IPO 117, AFRIKA YA JUU IVORY COAST, IPO YA 24!
Timu za 1 hadi 5 zimebaki pale pale na
Uruguay kupanda Nafasi 1 na kushika Nafasi ya 6, Uswisi kushuka moja na
wako Namba 7, Italy na Brazil kubaki Namba zao za 8 na 9 huku Belgium
wakiingia 10 Bora na kushika Nafasi ya 10 kwa kuitoa Netherlands ambayo
sasa iko Nafasi ya 11.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa hapo Aprili 10.
20 BORA:
1 Spain
2 Germany
3 Argentina
4 Portugal
5 Colombia
6 Uruguay
7 Switzerland
8 Italy
9 Brazil
10 Belgium
11 Netherlands
12 England
13 Greece
14 USA
15 Chile 998
16 Croatia
17 France
18 Ukraine
19 Russia
20 Mexico
JIRANI ZA TANZANIA:
115 Mozambique
116 Lebanon
117 Tanzania
118 New Caledonia
119 Equatorial Guinea
120 Luxembourg
0 comments:
Post a Comment