Waziri wa Maji Prof. Jumanne Mghembe akiongea na wandishi wa wa habari (hawapo pichani) kuhusu mandalizi ya
wiki ya maji ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kushoto kwake ni
mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho Kitaifa Injinia AMANI MAFURU, Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Maji NURDIN NDIMBE.
.
Waandishi
wa habari kutoka vyombo mbalmbali wakimsikiliza Waziri wa Maji
Profesa.Jumanne Maghembe, wakati akitoa kuhusiana na maadhimisho ya wiki
ya maji yanayotarajiwa kufanyika kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri
Manispaa ya Dodoma kuanzia Macha 16-22, 2014Msimamizi
wa Mradi wa Visima wa uchimbaji visima katika eneo la MZAKWE, Bwana
METHOD ILAMULIRA, kutoka Kampuni ya DON CONSULTANT akimuonyesha Afisa
Habari wa Mamlaka ya Maji mjini Dodoma, DUWASA, SEBASTIAN WARIOBA jinsi
Uchimbaji wa Maji unavyofanyika kupitia Visima virefu. ambavyo
vinatarajiwa kuondoa tatizo la maji katika mkoa wa Dodoma.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
0 comments:
Post a Comment