Jana
katika gazeti hilo walichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa Rais
Jakaya Kikwete aliwatembea wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na
Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) jijini Dar es Salaam.
Katika habari hiyo waliwataja aliowatembelea kuwajulia hali kuwa ni Rajab Maranda, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kwa wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), pamoja na mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Salum Mkambala. (J.G)

Hata hivyo, taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais imeeleza kuwa Rais Kikwete hakwenda kumuona Maranda bali
aliwatembelea wanahabari wawili ambao ni Salum Mkambala wa Channel Ten
aliyelazwa wodi binafsi D, na Margaret Chambiri wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi aliyelazwa wodi binafsi .
Taarifa hiyo pia inaeleza kuwa Rais Kikwete aliwajulia hali wagonjwa wengine wawili, John Mhina na Reuben Nyanga ambao wako chumba kimoja na Mkambala.
Hivyo gazeti hilo na kusema
"Tunachukua nafasi hii kuomba radhi kwa Rais Kikwete kwa usumbufu ambao
ameupata kutokana na habari hiyo"
Taarifa hiyo pia inaeleza kuwa Rais Kikwete aliwajulia hali wagonjwa wengine wawili, John Mhina na Reuben Nyanga ambao wako chumba kimoja na Mkambala.
0 comments:
Post a Comment