>>CHELSEA WAMALIZA GEMU MTU 9 NA MOURINHO ATOLEWA NJE!
LIGI KUU ENGLAND
MATOKEO:
Jumamosi Machi 15
Hull 0 Man City 2
Everton 2 Cardiff 1
Fulham 1 Newcastle 0
Southampton 4 Norwich 2
Stoke 3 West Ham 1
Sunderland 0 Crystal Palace 0
Swansea 1 West Brom 2
Aston Villa 1 Chelsea 0
UWANJANI VILLA PARK,
Chelsea, Vinara wa Ligi Kuu England, wamekiona cha moto baada kufungwa
1-0 na Aston Villa na pia kumaliza Gemu wakiwa Mtu 9 Uwanjani baada ya
Kadi Nyekundu kwa Wachezaji wao wawili kutoka Brazil, Willian na
Ramires, na pia Meneja wao Jose Mourinho kutolewa nje na Refa Chris Foy.
Balaa kwa Chelsea lilianza Dakika ya 69
baada ya Willian kumwangusha Mchezaji Bora wa Mechi hii, Fabian Delph,
na kulambwa Kadi ya Njano ya Pili na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.
Katika Dakika ya 82, Delph alikokota
Mpira na kuwatambuka Wachezaji kadhaa wa Chelsea na kumpasia kwenye
Winga Mark Albrighton ambae alitoa krosi ya chini iliyochezwa kwa
kisigino na Delph na kufunga Bao zuri na la ajabu.
Huku Dakika zikiyoyoma, Ramires wa
Chelsea alipewa Kadi Nyekundu kwa kumkita El Ahmadi na tukio hilo
lilimfanya Meneja wa Chelsea Jose Mourinho akasirike na kutoa maneno
yasiyofaa kitendo ambacho kilimfanya Refa Chris Foy amtoe nje.
Chelsea bado imebaki kileleni ikiwa Pointi 6 mbele ya Man City lakini wao wamecheza Mechi 3 zaidi ya City.
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Bacuna, Vlaar, Baker, Bennett, El Ahmadi, Westwood, Delph, Weimann, Benteke, Agbonlahor
Akiba: Clark, Albrighton, Steer, Sylla, Holt, Lowton, Robinson.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Oscar, Hazard, Torres
Akiba: Lampard, Mikel, Schurrle, Salah, Ba, Schwarzer, Kalas.
Refa: Chris Foy
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
[Saa za Bongo]
Jumapili Machi 16
1630 Man United v Liverpool
1900 Tottenham v Arsenal
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Chelsea |
30 |
33 |
66 |
2 |
Man City |
27 |
44 |
60 |
3 |
Liverpool |
28 |
38 |
59 |
4 |
Arsenal |
28 |
24 |
59 |
5 |
Tottenham |
29 |
0 |
53 |
6 |
Man United |
28 |
12 |
48 |
7 |
Everton |
27 |
11 |
48 |
8 |
Newcastle |
28 |
-2 |
43 |
9 |
Southampton |
30 |
2 |
42 |
10 |
Aston Villa |
29 |
-6 |
34 |
11 |
West Ham |
28 |
-4 |
31 |
12 |
Stoke |
29 |
-14 |
31 |
13 |
Hull |
29 |
-7 |
30 |
14 |
Swansea |
28 |
-4 |
29 |
15 |
Norwich |
29 |
-22 |
29 |
16 |
Crystal Palace |
28 |
-19 |
27 |
17 |
West Brom |
28 |
-11 |
25 |
19 |
Cardiff |
29 |
-28 |
25 |
18 |
Sunderland |
26 |
-16 |
24 |
20 |
Fulham |
29 |
-36 |
21 |
0 comments:
Post a Comment