Saturday, 1 March 2014

HIKI NDIO KIKOSI CHA YANGA KINACHO ANZA LEO DHIDI YA AL-AHALY NA ANGALIA HAPA KINACHO ENDELEA UWANJA WA TAIFA SASA

 
e76dYanga1Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda anayekipiga Yanga leo ataanza katika kikosi cha kwanza cha Yanga kinachojiandaa kukipiga na Nacional Al Alhly muda mfupi ujao katika dimba la uwanja wa taifa. Hata hivyo golikipa mkongwe Juma Kaseja amepigwa benchi leo na nafasi yake ameanza Deogratias Munish “Dida”.
KIKOSI KAMILI
1. Deogratias Munish “Dida” – 30
2. Mbuyu Twite – 6
3. Oscar Joshua – 4
4. Nadir Haroub “Cannavaro” – 23 (C)
5. Kelvin Yondani “Cotton” – 6
6. Frank Domayo “Chumvi” – 18
7. Saimon Msuva – 27
8. Haruna Niyonzima – 8
9. Emmanuel Okwi – 25
10. Mrisho Ngasa – 17
11. Hamisi Kizza – 20
Subs:
1. Juma Kaseja – 1
2. Juma Abdul – 12
3. David Luhende – 3
4. Athuman idd “Chuji” – 24
5. Hassan Dilunga – 26
6. Said Bahanuzi – 11
7. Didier Kavu

0 comments: