HOME »
» BARCELONA YAFIKISHA MABAO 100. KATIKA MECHI ZAKE ZOTE MSIMU
Kwa msimu wa tisa mfululizo klabu ya FC
Barcelona hapo jana usiku ilifikisha jumla ya mabao 100 ya kufunga
baada ya kuifunga Real Sociadad mabao 2-0 kwenye mchezo wa nusu fainali
ya kwanza ya kombe la mfalme.
wachezaji 15 tofauti wa timu hiyo
wameshirikiana kufunga jumla ya hayo mabao huku,wachezaji 5 kati yao
wakiwa tayari wameshafunga zaidi ya mabao 10.
Leo Messi 19, Pedro 16, Alexis 15, Cesc 12 and Neymar Jr 11.
0 comments:
Post a Comment