![]() |
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam leo |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam leo |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiangalia ngao aliyopewa zawadi baada ya ku[okea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam leo |
0 comments:
Post a Comment