HOME »
» JK WA PILI:OPERASHENI TOKOMEZA UJANGILI INARUDI TENA
Rais Jakaya Kikwete amesema Operesheni
Tokomeza Ujangili iliyositishwa kwa muda kutokana na utekelezaji wake
kukumbwa na kasoro na kusababisha mawaziri wake wanne kuwajibika
kisiasa, itaendelea baada ya kukamilika kwa matayarisho ya awamu yake ya
pili.
Soma zaidi...Mwananchi
0 comments:
Post a Comment