Wednesday, 1 January 2014

WATOTO 13 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2014 MKOANI IRINGA


Muuguzi  wa  zam katika Hospital ya  rufaa ya  mkoa  wa Iringa Eda  Sanga  akimsaidia mmoja kati ya akina mama  waliojifungua  wakati wa mkesha wa mwaka mpya kumweka  sawa mtoto  wake
Muungauzi wa  zam katika Hospital  ya  rufaa ya  mkoa  wa Iringa Eda  Sanga alisema kuwa   jumla ya  watoto 13  wamezaliwa  wakati wa mkesha wa  mwaka mpya na kuwa kati ya watoto hao  7 ni  wa kiume na watano wa kike na watoto  watatu kati yao  wamezaliwa kwa njia ya upasuaji na   mama  zao  wanaendelea  vizuri .

0 comments: