HOME »
» NDEGE ZINAZOTUA UWANJA WA NJOMBE NJINSI ZINAVYO KUWA SINEMA KWA WATOTO
 |
Watoto
wa mji wa Njombe jirani na uwanja wa Ndege wakikimbia kusogea
uwanja wa Ndege Njombe kutazama Ndege ndogo iliyotua ktk kiwanja
hicho kama walivyonaswa na kamera ya matukio daima hivi karibuni
,toka ndege zimeanza kutua watoto na wananchi wa meeneo ya uwanja
wa ndege wamekuwa wakisitisha shughuli zao kushuhudia Ndege hizo |
 |
watoto wakishuhudia Ndege iliyotua uwanja wa Ndege Njombe |
0 comments:
Post a Comment