Busu
kwenye tuzo: Nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu
tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa leo
mjini Monaco, Ufaransa
Cristiano Ronaldo akifurahia na tuzo yake
Ronaldo
(katikati) akifurahia baada ya kushinda. kushoto ni wachezaji wa Bayern
Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robbe kulia
0 comments:
Post a Comment