Saturday, 23 August 2014

ATLETICO MADRID WASHINDA SPANISH SUPER CUP

    Atlètico Madrid 1-0 Real Madrid, Goli hilo lilifingwa Mario Mandzukic na kuwafanya Atletico kuwa na jumla ya magoli 2-1 dhidi ya Madrid hiyo inatokana na kwamba katika mchezo wao wa kwanza walitoka droo ya kufungana goli moja kwa moja.(P.T)

    0 comments: