Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
kwenye Ikulu ya Mwanza August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa
mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika
jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
kwnye Ikulu ya Mwanza August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa
mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika
jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment