Saturday, 23 August 2014

MAN U KUMSAJILI ANGEL DI MARIA KWA PAUNI MILION 56



Sky Sports wanaripoti kuwa Manchester United wanakaribia kumsajili Angel Di Maria kwa kati ya pauni milioni 48- 56 kutoka Real Madrid. Mchezaji huyo kutoka Argentina anatarajiwa kukamilisha usajili wake kwenda Old Trafford wiki ijayo na anatarajiwa kuvaa jezi maarufu namba 7 - kwa mujibu wa Sky Sports

0 comments: