kwa kuwa bunge la sasa linajadili
mambo tofauti na machango na maoni ya wananchi walioutoa katika tume ya warioba
ndio maana baadhi ya wajumbe wa bunge hilo la katiba hakubaliani na uendeshwaji unao endelea hivi sasa katika bunge hilo ndiyo maana ukawa
hawataki kuingia bungeni, hayo yamesemwa
na mratibu wa shirika la maendeleo ya elimu Tanzania(Tanzania
development agent)(TANEDA) bwana wirlfred ngajiro alipokuwa akizunguza na mtandao huu offisini kwake
Mratibu huyo ameongeza kuwa kupata katiba mpya ni maridhiano ya
pande zote mbili kati ya ukawa na wajumbe wengine wa bunge hilo malumu la
katiba, kama bunge litaendelea kwa mchakato
wa kutafutbata katiba kwa utaratibu huu wakati
mchango wa wajumbe wengine hawapo bungeni, katiba hiyo itakuwa batiri
mratibu wa shirika la maendeleo ya elimu Tanzania(Tanzania development agent)wirlfred ngajiro |
Kwa upande mwingene kuwa kusitishwa kwa mchakato wa katiba ni sawa kwa kuwa serikali imetumia pesa nyinge kutafuta maoni ya wananchi kuhusu katiba na mpaka leo hakuna chamsingi kinachoendeleo kuhusu katiba bali ni kulumbana bila sababu ya msingi hivyo kwa upande wake anomba isitishwe ili kupunguza gharama kwa watanzaia
Habari Na Abdul Marwa Mbeya
0 comments:
Post a Comment