Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kushoto)
akizungumza katika hafla fupi ya kupokea misaada ya Pikipiki, Kompyuta
na Samani za ofisini ambazo zimetolewa na Serikali ya China. Naibu
Waziri Silima aliishukuru China kwa misaada hiyo iliyotolewa kwa ajili
ya kulisaidia Jeshi la Polisi. Kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania,
Lu Youqing. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika Ofisi za Makao Makuu
ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi
wa China nchini Tanzania, Lu Youqing akizungumza kabla ya kumkabidhi
misaada ya Pikipiki, Kompyuta na Samani za ofisini kwa ajili ya kusaidia
shughuli za utendaji za Jeshi la Polisi, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Pereira Ame Silima (kulia). Misaada hiyo imetolewa na Serikali
ya China. Naibu Waziri Silima aliishukuru China kwa misaada hiyo
iliyotolewa kwa ajili ya kulisaidia Jeshi la Polisi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akiiwasha moja ya
pikipiki zilizotolewa na Serikali ya China kwa ajili ya kulisadia Jeshi
la Polisi. Jumla ya pikipiki 50 zilitolewa na China ikiwa ni misaada yao
ya mara kwa mara kwa ajili ya kulisadia jeshi hilo kwa lengo la
kukabiliana na uhalifu nchini. Hata hivyo, Naibu Waziri Silima
aliishukuru Serikali ya China kupitia Balozi wake nchini, Lu Youqing
(wapili kushoto).
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima
(katikati-waliokaa), Balozi wa China nchini, Lu Youqing (wapili kulia),
Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Omar Juma Kaniki
(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la
Polisi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Serikali
0 comments:
Post a Comment