(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
Mwakilishi
wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akifurahia jambo akiwa pamoja na
waandishi wa Habari leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini
Dodoma
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, kulia ni Mhe. Stella Manyanya akiwa
amefuatana na Mhe. Reuben Matango wakielekea ndani ya Bunge Singo leo 29
Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
Mwakilishi
wa Watanzania waishio Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Bw. Kadari Singo (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe
mwenzie, Mhe. Yusuph Singo leo 29 Agosti, 2014 Bunge Maalum la Katiba
mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment