Sunday, 10 August 2014

WATANZANIA WAHIMIZWA KUTUMIA SOKO LA HISA KUJIWEKEA AKIBA NA KUWEKEZA

 

DSE2_-_Copy[1]
Baadhi ya Wahariri wa Habari za Biashara wakifuatilia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo kuhusu kuandika na kuripoti habari za biashara na uchumi iliyoandaliwa na DSE kwa kushiorikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Uhasibu (ACCA) ya jijini Nairobi nchini Kenya.Semina hiyo imefanyika leo Wilayani Bagamoyo katika Hotel ya New Palm Beach Village.DSE2a_-_Copy[1]DSE3[1]
Afisa Mtenda Mkuu wa Soko la Hisa na Mitaji (DSE) Bw. Moremi Marwa akiwasilisha mada wakati wa semina ya Wahariri wa Habari za Biashara na Uchumi iliyofanyika leo mjini Bagamoyo. Semina hiyo imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya DSE na taasisi ya Kimataifa ya Uhasibu – ACCA kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuandika, kuchambua na kuripoti habari za uchumi na biasharakwa weledi.
DSE5a[1]
Afisa Mtenda Mkuu wa Soko la Hisa na Mitaji (DSE) Bw. Moremi Marwa (kushoto) akimkabidhi zawadi mgeni rasmi ambaye pia ni  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. John Mireny wakati wa semina ya Wahariri wa Habari za Biashara na Uchumi iliyofanyika leo mjiniBagamoyo.
 DSE5b[1] DSE6[1]
DSE7a[1]
Wan ne kutoka kushoto Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Bw. John Mireny akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahariri wa habari za biashara wakati wa semina ya wahariri hao iliyofanyika leo mjini Bagamoyo.Katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Moremi Marwa.

0 comments: