HOME »
» MRADI WA KUZUIA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE WAZINDULIWA JIJINI MBEYA
|
Naibu
Meya wa Jiji la Mbeya Chifoda Yesaya Fungo akizindua Mradi wa kuzuia
ukatili wa kijinsia kwa wanawake katika ukumbi wa Halmashauri jiji Mbeya
|
|
Mrtibu
wa MBEPAU Jane Lawa akitoa maelezo mafupi jinsi mradi huo utakavyofanya
kazi kwa kushirikiana wadau mbalimbali katika jamii |
|
Mratibu wa NGOS Victor Kabuye akifafanua zaidi jinsi mradi huo utakavyofanya kazi karibu na jamii |
|
Chifu
Kiongozi wa Kabila la Kisafwa Bwana Roketi
Mwanshinga akitoa neno la shukrani kwa waratibu wamradi wa MBEPAU kuwa
wameupokea mradi huo kwa mikono miwili na sasa kazi tu kushirikiana
kutokomeza vitendo vya ukatili wa kinjinsia
|
|
Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi huo wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi |
|
MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAKRISTO MKOA WA MBEYA AKITOA NENO LA SHUKRANI
|
|
PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUZINDULIWA KWA MRADI HUO |
0 comments:
Post a Comment