Charles
Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo ambapo
alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na
hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini ya sh.milioni 68.
Hapa
Ekelege akiwa amekaa nje ya Mahakama hiyo na familia yake kabla ya
kuhukumiwa. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba
0712-727062)
Ekelege akiteta jambo na familia yake akiwa Mahakamani hapo.
Askari polisi akiwa na familia ya Ekelege (wa pili kulia), wakati akitoka kwenye mahakama hiyo.
Ekelege akiteta jambo na kijana aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake.
0 comments:
Post a Comment