Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema Steven
Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti Makambako,Njombe
baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa insha katika
shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo kusini mwa
Afrika(SADC).Rais Kikwete alimpongeza mwanafunzi huyo wakati wa hafla ya
ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika
mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe ambapo mwanafunzi huyo
aliandika insha inayohusu mabadiliko ya tabia nchi.
Monday, 18 August 2014
HOME »
» Mwanafunzi wa shule ya sekondari Naboti Makambako Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC;
0 comments:
Post a Comment