Hili ndilo tangazo la TV alilofanya Michelle Obama liko hapa kama hujaliona.
Wiki
iliyopita Miami Heat walitembelea Ikulu ya Marekani kusherehekea
uchampion wao wa mwaka 2013 ambapo wakiwa hapohapo Ikulu waliungana na
first lady kusupport kampeni ya let’s move kwenye tangazo la TV ili kusisitizia umuhimu wa kula vizuri, kula kwa afya na kunywa maji ili kuwa imara kama champion.
Tangazo hili la TV lililowekwa Youtube January 21 2014 linaihusu kampeni hii ya kuimarisha afya.
Video ya tangazo lenyewe ndio hilo hapo juu
0 comments:
Post a Comment