Tuesday, 21 January 2014

DIAMOND ATIMIZA AHADI YAKE KWA KUWALIPIA ADA WANAFUNZI EAST AFRIKA INTERNATOIN SCHOOL

Ahadi ya DIAMOND (@diamondplatnumz) imetimia na hiki ndicho alichokifanya leo

1013471_678734988816065_1639934619_n 
Kama unakumbukumbu nzuri wakati nafanya tamasha langu la Christmass na Ngololo niliuliza mtoto atakae cheza vizuri Ngololo na kushinda nimpe zawadi gani?…na wengi walisema Nimuendeleze kielimu…. Hawa ndio washindi wetu walioshinda siku ile, ambao siku ya leo niliwapeleka Rasmi katika Shule ya East Africa International School iliyopo Mikocheni Dar es salaam ili waanze Masomo yao…Niliona ni vyema kama mtoto yupo shule ya kawaida nimuhamishe international school ili niweze kumsaidia elimu bora zaidi…Niushkuru pia uongozi Mzima na wanafunzi wa Shule ya East Africa International School kwa kuwapokea vizuri

 

Related Posts:

0 comments: