Mbunge
wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie
wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete
katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili
Julai 13, 2014.PICHA NA IKULU
Meza Kuu katika
futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa
Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Wananchi
wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho
Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini
MbeyaJumapili Julai 13, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa
wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya
Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Shehe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha
baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika
katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili
Julai 13, 2014.
Wananchi
wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho
Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini
MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
Shehe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha
baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika
katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili
Julai 13, 2014.
Rais
Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa
Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Rais
Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi
katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya
Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
Waziri
wa Nchi Katika Ofisi ys Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark Mwandosya, na
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” wakiungana na wananchi
katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi
wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
0 comments:
Post a Comment