Mbunge
wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya
kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti
Mkuu wa Monduli mjini.
Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.
Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa.
Mke
wa mbunge wa jimbo la monduli Regina Lowassa akizungumza katika ghafla
ya futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo hilo Edward Lowassa
iliyofanyika katika msikiti wa monduli.
Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya waumini wa dini ya kiisalamu wilaya Monduli.
Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.
Waumini wakipata fuatari.
Meza Kuu wakipata futari.
Waumini wakipata futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo laMonduli Mh. Lowassa.
Mke
wa mbunge wa jimbo la Monduli, Regina Lowassa akizungumza katika hafla
ya futari iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo hilo Edward Lowassa
iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli.
Mbunge
wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelock Sokoine akizungumza katika
hafla ya futari iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Monduli.
Mbunge
wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha Namelock Sokoine akiwa na mke wa
Lowassa katika hafla ya futari iliyofanyika katika Msikiti wa Monduli..
0 comments:
Post a Comment