Malori makubwa
ya mizigo yanayoharibika yakiwa safarini kwenye barabara kuu kuelekea zambia yamekuwa na kikwazo
kikubwa kwa wasafiri hususani katika maeneo ya kadege na Nzovwe
A akizumza na mtandao huu Abilia wa dalada la bwana
Bosco Mlamka aliamua kufunguka na kusema wasafiri wamekuwa wakipata shida sana kuanzia maeneo
ya kadege mpaka Nzovwe kwa kuwa magari
ya abilia (daladala) mara nyingi yamekuwa kwenye foreni kubwa kutokana
na malori ya mizigo yanayoharibika. Hali ambayo husabaisha kujelewa katatika
shughuli zao
Aidha abilia
huyo aliongeza kuwa imekuwa ikiwalazimu
kutembea kwa miguu na kupelekea kuchelewa safari zao na hata kula hasara nauli
waliolipa.
Naye dreva wa
lori ambaye aliji tambulisha kwa jina moja la saidi ambaye lori
alikiri kuwepo kwa tatizo hilo na kudai kuwa eneo hilo lina mlima mkali na
mrefu ndiyo mana malori mengine yanashindwa
Hakuishia hapo
na kusema pia madereva daladala wanavurugu kwani wamekuwa wakijichomeka kwenye
magari bila utaratibu na kupelekea msongamano. Pia aliamua kupaza sauti na
kusema anaiomba serkali ipanue barabara ili kuepuka msongamano wa magari usio
wa lazima.
0 comments:
Post a Comment