Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa
Ridhiwani Kikwete akielekea kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya
walimu iliyojengwa kutokana na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo
ofisi ya Mbunge wa Chalinze
Jengo jipya la Zahanati
linaloendelea kujengwa katika kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba Jimbo
la Chalinze linaloongozwa na Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.
Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisalimiana na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo ndugu Samuel Saliyanga wakati wa
ukaguzi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba
Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa
Ridhiwani Kikwete akiweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu
iliyojengwa kwa na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge
wa Chalinze
0 comments:
Post a Comment