Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa
Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano
ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano
ya TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es salaam leo zenye thamani ya
zaidi ya bilioni 128.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa
Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya
mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano ya
TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es salaam leo zenye thamani ya
zaidi ya bilioni 128.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akionyesha
michoro ya itakavyonekana barabara za juu kwa juu katika makutano ya
TAZARA jijini Dar es salaam leo wakati wa kusaini hati ya makubaliano ya
miradi miwili zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128 na Balozi wa Japan
nchini Masaki Okada (kulia).
Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO -Dar
0 comments:
Post a Comment