Mkufunzi
wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari ‘Champion’
kushoto akiwaelekeza baadhi ya marefarii waliojitokeza katika mafunzo
hayo yaliyo andaliwa na chama cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala
CCM Dar es salaam juzi na kumalizika jumamosi hii
Mkufunzi
wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari ‘Champion’
kulia akisisitiza jambo kwa wakati wa mafunzo hayo uku marefarii
waliojitokeza wakimsikiliza kwa makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro,
Sako Mtlya na Buchato Michael
Mkufunzi
wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari ‘Champion’
akitoa maelekezo kwa mabondia na marefarii kabla ya kupigana wakati wa
mafunzo kwa vitendo ya urefarii wa mchezo huo
BAADHI YA MAREFARII WALIOSHILIKI
KATIKA KOZI HIYO KUTOKA KUSHOTO NI BUCHATO MICHAEL,PEMBE NDAVA,HAMISI
KIMANGA,RAJABU MHAMILA ‘SUPER D’ ALLY BAKARI,Ayubu Tezikoma NA SAKO MTLYA
0 comments:
Post a Comment