Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na viongozi wa Citi Bank ofisini kwake jijini Dar es
salaam Julai 23, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi , Dr. Harrison
Mwakyembe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Citi Bank baada ya kuzungumza nao ,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam julai 23, 2014. kushoto ni Waziri
wa Uchukuzi aliyemabatana na ujumbe huo na kushoto kwa Waziri Mkuu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
Nagu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Sumitomo Chemicals
ya Japan wanaokusudia kuwekeza kiwanda cha mbolea nchini na katika
kilimo cha mpunga. Wapili kushoto ni Waziri wa Kilimo , Chakula na
Ushirika, Mhandishi Christopher Chiza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment