Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi za
Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa
vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye
hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa
Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Thursday, 24 July 2014
HOME »
» WAZIRI MKUU MHE. PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU- NAIROBI
0 comments:
Post a Comment