Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison
Mwakyembe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
mapema hii leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia
mikakati ya Wizara yake katika kutatua changamoto zinazolikabiri Shirika
la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA).
Waandishi wahabari wakimfuatilia
kwa makini Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani)
mapema hii leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia
mikakati ya Wizara yake katika kutatua changamoto zinazolikabiri Shirika
la Reli laTanzania na Zambia (TAZARA).
Picha zote na Eliphace Marwa (Maelezo)
0 comments:
Post a Comment