Baada ya taarifa za kufungiwa kwa hii video ya Jux sababu ya hizi picha, yeye kasemaje?
Ni
mara chache kusikia video flani ya bongofleva haichezwi kwenye vituo
vya TV kwa sababu ya wamiliki wa vituo hivyo kuona haina maadili hivyo
haiwezi kuruhusiwa kuonyeshwa kwa mamilioni ya Watanzania.
Video ya Jux toka mwaka 2013 mwishonimwishoni stori zilikua
zinazunguka kwamba hii video imefungiwa kwenye vituo vya TV za bongo
sababu picha zinazoonekana ndani yake zimezidisha kuvuka mipaka ya
kimaadili.
Kwa sababu taarifa hizi ‘inadaiwa’ hazikutokea BASATA, wengi
walisubiria Jux mwenyewe akirudi Tanzania atasema nini kuhusu hii ishu
manake labda ni vituo vya TV vyenyewe ndio vimeamua kuisimamisha bila
agilo la BASATA hivyo kama ni TV zenyewe basi vingekua vimemwambia.
Anachosema ni hiki >>> ‘Mimi nilikua China ndio B12
akaniambia video yako imefungiwa, nilivyorudi Tanzania BASATA
tulipoulizia wakasema hawana hizo taarifa na ni lazima wapitiwe kwanza
wao kwenye ishu kama hii… na lazima wakichukua hatua wanatoa taarifa kwa
muhusika, wakasema kuna vitu viwili inawezekana kuna michezo imechezwa’
MTANDAO : Toka umerudi bongo umeshawahi kuiona hii video ikichezwa kwenye TV?
Jux : ‘hapana ila kuna watu waliniambia wameshawahi kuiona EATV, pia mimi sio mtazamaji wa TV sana’
Hizi
picha zote ni za sehemu ya kinachoonekana kwenye video yenyewe ambayo
unaweza kuitazama hapo chini, iko kwenye Youtube na imetazamwa mara
0 comments:
Post a Comment